2 Samuel 14:11

11 aHuyo mwanamke akasema, “Basi mfalme na amwombe Bwana Mwenyezi Mungu wake ili kuzuia mlipiza kisasi cha damu kuongeza juu ya uharibifu, ili kwamba mwanangu asije akaangamizwa.”

Mfalme akasema, “Hakika kama aishivyo Bwana, hakuna unywele mmoja wa kichwa cha mwanao utakaoanguka chini.”

Copyright information for SwhKC